Thursday, June 3, 2010

FURAHA

Kiafya, inashauriwa kutenga baadhi ya siku na kufurahi kwa pamoja kama walivyokutwa vijana hawa na mpiga kamera wetu

upashanaji habari

watanzania tunahimizwa kuenda na wakati kupitia vyombo vya habari kama ilivyoonesha kwenye picha

UTATA!

Siku za hivi karibuni kulitokea kizaazaa baada ya kijana aliyevaa kofia kutakakujua kiundani namna pesa yake ilivyotumika katika shughuli iliyokuwa inawahusu vijana hawa wawili

Wednesday, June 2, 2010

Mlimani City

miongoni mwa shoping centre maarufu jiji Dar es salaam linalouza bidhaa kutoka nje ya nchi kwa wingi hapa nchini

Morogoro

ijapokuwa tunavivutio vingi vya utalii, undelezaji wa vivutio hivyo umeachwa na kufanya kuwa mapango ya wezi na majambazi, Bazil. B. (morogoro)

zimamoto

am
kukosekana kwa ajali za moto kwa muda mrefu katika jiji la moshi kumesababisha uchakavu wa huduma hii kama inavyoonekana kwenye picha.

Sunday, May 30, 2010

marathi

marathi ni kitu ninachitajika kipewe utatuzi mapema, lakini baadhi ya wagonjwa hukaa mda mrefu hospitalin kutokana kujihusisha na ubadilishanaji wa taarifa mbalimbali zikiwamo za machungu ya mapenzi nahivyo kupelekea kupata presha